• MTU WANGU WA LEO
    Feb 5 2025
    Tunajifunza kutoka kwa George Samwel Claison. Mwandishi wa kitabu Cha "the richest man in Babylon" mtu tajiri katika mji wa babeli
    Show More Show Less
    11 mins
  • Bill Ackman_1735078991364_1.mp3
    Dec 24 2024
    "Uzoefu ni kufanya makosa na kujifunza kutokana na makosa hayo". Tunapoelekea mwisho wa mwaka 2024, inawezekana pia i nawe ni miongoni mwawale amabo Kuna vitu vimeumiza sana sababu ya makosa ya kibinadam au kutokujua sio mda wa kujilaumu badala ya yake nijifunza.
    Show More Show Less
    7 mins
  • Tafuta kuwa wathaman mbele ya Mwenyezi Mungu.mp3
    Nov 25 2024
    1 Lakini sasa, Bwana aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.
    Isaya 43:1

    2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
    Isaya 43:2

    3 Maana mimi ni Bwana, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
    Isaya 43:3

    4 Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
    Isaya 43:4

    5 Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi;
    Isaya 43:5
    Show More Show Less
    11 mins
  • MAMBO 4 YA KUFANYA UNAPOANZA WIKI MPYA
    Oct 20 2024
    1. Kuwa na utamaduni wa kufanya tafakari wiki inapoisha

    2. Weka malengo mapya mahususi ya wiki mpya

    3. Weka mikakati ya kukusaidia kufikia malengo Yako ya wiki, note epuka kurudi makosa ya wiki iliyopita

    4. Kuwa natafakari kila siku inapoisha
    Show More Show Less
    13 mins
  • MAMBO 4 YA KUFANYA UNAPOANZA WIKI MPYA
    Oct 20 2024
    1. Kuwa na utamaduni wa kufanya tafakari wiki inapoisha

    2. Weka malengo mapya mahususi ya wiki mpya

    3. Weka mikakati ya kukusaidia kufikia malengo Yako ya wiki, note epuka kurudi makosa ya wiki iliyopita

    4. Kuwa natafakari kila siku inapoisha
    Show More Show Less
    13 mins
  • FOCUS.mp3
    Sep 8 2024
    7 mins
  • KUNYAMAZA VS KUNENA.m4a
    Jun 29 2024
    7 Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena;
    Mhubiri 3:7b
    Show More Show Less
    8 mins
  • TUNZA FURAHA YAKO (Maintain Your Happiness)
    Feb 21 2024
    Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.

    Kutoka 33:14
    Likumbukeni neno lile alilowaamuru Musa mtumishi wa Bwana, akisema, Bwana, Mungu wenu, anawapa ninyi raha, naye atawapa nchi hii.

    Yoshua 1:13
    Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema?

    Ruthu 3:1
    Show More Show Less
    12 mins