DUKAHURU PODCAST cover art

DUKAHURU PODCAST

DUKAHURU PODCAST

By: Dukahuru Brands Tanzania Limited
Listen for free

About this listen

Step into a space where bold conversations, expert insights, and inspiring stories collide. Dukahuru Podcast is your go-to platform for exploring entrepreneurship, digital innovation, personal growth, and real-life experiences from thought leaders, industry experts, and game-changers across Tanzania and beyond.

Each episode delivers practical strategies, powerful lessons, and motivational content designed to empower you to take charge of your life, your business, and your vision. Whether you’re an aspiring entrepreneur, a creative professional, or someone hungry for knowledge, Dukahuru Podcast equips you with the tools, mindset, and inspiration to level up.

Tune in, get inspired, and transform ideas into action with Dukahuru Podcast – your journey to growth starts here.

© 2025 DUKAHURU PODCAST
Economics
Episodes
  • 7 DOORS TO PERSONAL GREATNESS || MILANGO 7 YA UKUU WAKO BINAFSI
    Aug 26 2025

    Moja ya mambo mengi unayopitia kwenye maisha ni changamoto za kukujenga ila unapokosea kutafsiri yale yanayokutokea, hupelekea kuporomoka kwako kimaisha.

    Leo tumepata nafasi adhimu ya kuzungumza japo kwa uchache juu ya yale yanaweza kukujenga na kukupa mwangaza katika kila maauzi yako.

    Udhoefu na ustamilivu alionao ama kupitia Bwana Rodrick Nabe ni mkubwa na kupitia kitabu chake cha 7 DOORS TO PERSONAL GREATNESS tumechambua milango miwili na yenye faida kuu kwenye maisha yako ya kila siku.

    Kupata nakala za kitabu hiki unaweza tembelea mitandao yake ya kijamii kupitia;
    INSTAGRAM: https://www.instagram.com/rodricknabe
    TIKTOK: https://www.tiktok.com/roadtosuccesstz
    CONTACT: +255 742 884 932
    YOUTUBE: https://www.youtube.com/@roadtosuccesstz

    Bookings and inquiries can be made directly to our office:
    Call & WhatsApp: https://wa.me/255769598404
    Email: info@dukahuru.co.tz
    Location: 6 Mikocheni Street, Mikocheni B, Dar es Salaam, Tanzania.

    Support the show

    Prepared by Dukahuru
    Social media and Brand psychologist
    Instagram.com/Dukahuru
    Www.Dukahuru.co.tz

    WhatsApp wa.me/255783820003

    Show More Show Less
    40 mins
  • YOUR KITCHEN CAN HEAL & DESTROY YOU || TIBA YA MWILI WAKO IPO JIKONI KWAKO
    Aug 26 2025

    Katika kuijenga afya yako na kuhakikisha kuwa unaishi katika misingi bora ya afya bora, ni njia zipi za milo hutumia?

    Hili ni swali mimi na wewe tunajiuliza, Je, maisha ya kale na haya ya sasa yapi yalikuwa madhubuti kwa afya zetu.
    Je, vyakula tunavyokula leo hii, miili yetu inaweza kupambana na maradhi pasipo kutegemea madaya ya hospitalini?

    Kama una maswali mengi kama hayo juu ya afya yako, basi mazungumzo haya yamebainisha namna au jinsi unavyowenza ishi salama kwa kuzingatia mlo bora na namna ya kuupata kwa ajili ya afya ya mwili wako.

    Mwalimu Angelo anasema "Tiba ya mwili wako, ipo jikoni kwako". Maradhi na maginjwa huanzia pale unapoandalia chakula.

    Kupata mafunzo haya kwa kina unaweza fwatilia maudhui kama haya kupitia mitandao ya kijamii ya Mwl. Angelo;
    INSTAGRAM: https://instagram.com/afya.life
    TIKTOK: https://tiktok.com/afya.life
    CONTACT: +255 715 313 934
    YOUTUBE: www.youtube.com/@afyalifetz

    Bookings and inquiries can be made directly to our office:
    Call & WhatsApp: https://wa.me/255769598404
    Email: info@dukahuru.co.tz
    Location: 6 Mikocheni Street, Mikocheni B, Dar es Salaam, Tanzania.

    Support the show

    Prepared by Dukahuru
    Social media and Brand psychologist
    Instagram.com/Dukahuru
    Www.Dukahuru.co.tz

    WhatsApp wa.me/255783820003

    Show More Show Less
    38 mins
  • CAPACITY BUILDING TRAINING || MAFUNZO YA KUJIJENGEA UWEZO
    Aug 26 2025

    Moja ya changamoto kubwa kwenye Taifa hili ni upatikananaji wa haraka wa ajira.
    Ajira nyingi zinahitaji uzoefu wa miaka 3,5,10 na kuendelea ili kukidhi vigezo na masharti ya kampuni fulani.

    Tatizo kubwa tena, yawezekana sio kukosa hajira au kukosa wafanyakazi wazalendo wachapa kazi ama wanao elewa sababu ya wao kuwepo eneo la kazi. Kama mwajiri umeshawaji kujiuliza wewe na bodi yako, kuwa wafanyakazi mlio nao, mmewatengenezea mazingira yapi ya kuweza kuwafanya bora na wenye thamani ili kuongeza ushindani na kipato cha kampuni.

    Wengi walio ajiriwa hawafanyi kazi walizosomea, sasa kama mmiliki ni kipi unahitajika kufanya ili kuwa na jopo la wafanyakazi imara na madhubuti.
    Segment hii ya mazungumzo imeweza kukufunulia bakuli lililofunikwa kuhusu, mafunzo ya kuwajengea wafanyakazi wako uwezo wa kufanya kazi katika misingi sahihi ya kazi na kufikia malengo na matarajio ya kampuni.

    Bwana Rodrick Nabe ni mtaalamu, Mwalimu pamoja na mkufunzi wa mambo ya kujenga umoja miongoni mwa wafanyakazi wa makampuni, taasisi na mashirika binafsi na umma.

    Kuendelea kupata michanganuo ya mada nzito kama hizi tembelea Social Media zetu;
    INSTAGRAM: https://www.instagram.com/rodricknabe
    TIKTOK: https://www.tiktok.com/roadtosuccesstz
    CONTACT: +255 742 884 932
    YOUTUBE: www.youtube.com/@UCeOaZCq5vIbdpmap83Dx_TQ

    Bookings and inquiries can be made directly to our office:
    Call & WhatsApp: https://wa.me/255769598404
    Email: info@dukahuru.co.tz
    Location: 6 Mikocheni Street, Mikocheni B, Dar es Salaam, Tanzania.

    Support the show

    Prepared by Dukahuru
    Social media and Brand psychologist
    Instagram.com/Dukahuru
    Www.Dukahuru.co.tz

    WhatsApp wa.me/255783820003

    Show More Show Less
    38 mins
No reviews yet
In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.