Yesu Hakosei Kamwe (Jesus Never Fails - Swahili) cover art

Yesu Hakosei Kamwe (Jesus Never Fails - Swahili)

Yesu Hakosei Kamwe (Jesus Never Fails - Swahili)

By: Lutheran Heritage Foundation
Listen for free

About this listen

Hofu ya kukosesha ni mtanziko wa kisasa. Iwapo tungaliishi katika ulimwengu ambamo hatukumbani na kipengele cha kukosesha siku baada ya siku, maisha yangekuwa mazuri. Tunayo habari njema kuhusu kukosesha: Tayari kumeshughulikiwa. Ukihisi kuwa na mapungufu au mtu fulani amekukosesha, ningependa kukutambulisha kwa Mtu fulani Ambaye ameshinda na kujipatia ushindi dhidi ya mapungufu yote ya ulimwengu – yakiwemo mapungufu yako. Ili kuomba NAKALA YA BURE YA CHAPISHA ya kitabu hiki popote ulipo duniani, wasiliana na Shirika la Lutheran Heritage Foundation (LHF). LHF hutafsiri, huchapisha, husambaza na hutambulisha vitabu vinavyojikita katika Biblia, vinavyomlenga Kristo, na vyenye msukumo wa Matengenezo ya Kilutheri katika zaidi ya lugha 150. Vitabu hivi hutolewa BILA MALIPO kwa yeyote anayevihitaji. Ikiwa wewe, mpendwa wako, au huduma yako mnahitaji vitabu hivi, tembelea pubsearch.LHFmissions.org ili kuona vitabu vilivyopo kwa lugha yako na kuagiza nakala zako za bure.Copyright 2025 Lutheran Heritage Foundation Art Christianity Literary History & Criticism Social Sciences Spirituality
Episodes
  • Yesu Hakosei Kamwe
    Aug 19 2025

    Hofu ya kukosesha ni mtanziko wa kisasa. Iwapo tungaliishi katika ulimwengu ambamo hatukumbani na kipengele cha kukosesha siku baada ya siku, maisha yangekuwa mazuri. Tunayo habari njema kuhusu kukosesha: Tayari kumeshughulikiwa. Ukihisi kuwa na mapungufu au mtu fulani amekukosesha, ningependa kukutambulisha kwa Mtu fulani Ambaye ameshinda na kujipatia ushindi dhidi ya mapungufu yote ya ulimwengu – yakiwemo mapungufu yako.

    Show More Show Less
    17 mins
No reviews yet
In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.