Seli mbegu na Seli Yai na | Dr Hesperance Kilonzo cover art

Seli mbegu na Seli Yai na | Dr Hesperance Kilonzo

Seli mbegu na Seli Yai na | Dr Hesperance Kilonzo

Listen for free

View show details

About this listen

Ungana na Dr. Kilonzo anapokuletea somo la kwanza katika mfululizo wa masomo 21 ya afya yatakayokuwa yakitolewa katika mikutano ya Kihonda NET Event. Katika somo hili Dr. Kilonzo anaelezea umuhimu wa kuzielewa seli hizo mbili kama msingi wa afya nzima ya mwanadamu.

Karibu tubarikiwe pamoja na somo hili, kwa maswali, maoni na maombi usisite kutufikia kupitia kurasa zetu mbalimbali za mitandaoni.

No reviews yet
In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.