SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6) cover art

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

Listen for free

View show details

About this listen

Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya mwili inayoturudisha kuwa watenda dhambi, kwa sababu Yesu Kristo alikuja kutuokoa kutoka katika dhambi. Bwana wetu ametufanya kuwa watoto wa Mungu kwa kutuokoa kutoka katika dhambi za ulimwengu huu kwa injili ya maji na Roho. Kwa kweli Bwana ametupa wokovu wa kweli na uhuru wa kweli kwa wale tunaoamini injili ya maji na Roho.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

What listeners say about SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

Average Customer Ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.

In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.