SURA YA 4-2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31) cover art

SURA YA 4-2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31)

SURA YA 4-2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31)

Listen for free

View show details

About this listen

Masharti kama vile kujitengenezea Wakristo au kanisa lenye watu watu wengi,linaloonekana kuwa maarufu sana,haswa miongoni mwa jamii za Wakaristo wa Dunia ya Tatu.Wanajaribu kubadilisha ukristo wa Magharibi kuwa aina moja ambayo inaambatana zaidi na tamaduni zao.Wanasisitiza sana kifungu cha pili cha uhasama wa jadi,Umoja katika mambo muhimu,uhuru katika vitu visivyo vya msingi na hisani katika mambo yote.Lakini jambo la bahati mbaya ni kwamba hawajua mambo muhimu ni yapi au ni nini.Walakini,injili ya maji na Roho iliyoenezwa na sisi haiwezi kudhihirishwa katika hali tofauti nay ale yaliyomo katika injili hii.Na hivyo haiwezi kubadilika kwa hali yoyote.Ninamshukuru Mungu kwa kweli maana ninaweza kuwahubiria injili ya maji na Roho ambayo inaweza kukuokoa kutoka katika dhambi zako zote chini ya hali yeyote.Kwa hviyo,niko tayari kufanya kazi hii ya haki mpaka siku ile Bwana wetu atakaporudi.Ninaamini kwamba roho nyingi zitaachiliwa kutoka katika dhambi zao zote kwa kuamini injili ya maji na Roho.Ninjua pia kitabu hiki kitakuwa na faida kwako kabisa.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

What listeners say about SURA YA 4-2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31)

Average Customer Ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.

In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.