SURA YA 1-4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18) cover art

SURA YA 1-4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18)

SURA YA 1-4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18)

Listen for free

View show details

About this listen

Imeandikwa “Mwenye haki ataishi kwa imani” Je, tunaishi kwa imani au la? Njia pekee ya mwenye haki kuishi ni kwa imani. Imani ndiyo imwezeshayo mwenye haki kuishi. Twaweza kuishi na kuendelea na mambo yote pale tu, tutakapo mwamini Mungu. Wenye haki tu ndio wawezao kuishi kwa imani. Neno “tu” maana yake hakuna zaidi ya yeyote awezaye kuishi kwa imani ila mwenye haki. Sasa, vipi kuhusu wenye dhambi? Wenye dhamba kamwe; hawatoweza kuishi kwa imani Je, wewe unaishi kwa imani? Inatulazimu kuishi kwa imani.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

What listeners say about SURA YA 1-4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18)

Average Customer Ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.

In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.