SURA YA 1-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1 cover art

SURA YA 1-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1

SURA YA 1-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1

Listen for free

View show details

About this listen

“Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi” unaweza kuchuliwa kuwa ni hazina ya Biblia. Inahusika zaidi na namna ya mtu awezavyo kupata haki ya Mungu kwa kuiamini Injili ya maji na Roho. Ukilinganisha Waraka kwa Warumi na ule Waraka wa Yakobo, wapo wanaouelezea huu wa kwanza kama “maneno mfano wa mrija wakufyonzea” Hata hivyo Yakobo ni neno la Mungu kama ilivyo Warumi.Tofauti pekee ni kwamba, katika Warumi ni wathamani kwa sababu unatoa mtazamo wa kijumla katika biblia, hali Yakobo uthamani wake nao upo katika neno ambalo linalowawezesha wenye haki kuishi kwa mapenzi ya Mungu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

What listeners say about SURA YA 1-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1

Average Customer Ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.

In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.