• Taarifa ya habari: Kiongozi mpya wa Iran kuteuliwa baada ya Ayatollah Ali Khamenei kuuawa
    Mar 2 2026
    Mchakato unaendelea kuamua ni nani atakaye iongoza Iran, baada ya kuuawa kwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei.
    Show More Show Less
    5 mins
  • Yaliyo jiri Afrika: Tahadhari yatolewa kwa mlipuko wa virusi vinavyo sababisha UVIKO-19 Tanzania
    Feb 27 2026
    Wizara ya afya Tanzania imesema kuwa maambukizi ya wagonjwa wa mafua makali ya Influenza na Uviko-19 yameongezeka na kuwataka wananchi kuchukua hatua stahiki za kujikinga na maambukizi hayo.
    Show More Show Less
    8 mins
  • Makala leo: 'Punguza uchochezi' Waziri Mkuu asema baada ya ongezeko ya vitisho dhidi ya wabunge
    Feb 27 2026
    Kuondolewa kwa dharura kwa Waziri Mkuu kutoka nyumbani kwake mjini Canberra kwa sababu ya tisho la bomu lililolengwa, kumesababisha maonyo ya kuongezeka kwa mazingira ya usalama, ambapo uadui mtandaoni unazidi kujitokeza kama vitisho vya kimwili vyenye madhara makubwa.
    Show More Show Less
    9 mins
  • Taarifa ya Habari: SES NSW yapokea simu 450 zakuomba msaada wakati wa mafuriko magharibi mwa Sydney
    Feb 27 2026
    Mvua kubwa imesababisha mafuriko ya ghafla katika sehemu za Sydney usiku kucha wa Alhamisi hadi Ijumaa, wafanyakazi wakujitolea wa S-E-S wakitoa huduma za uokoaji 44 za maji ya haraka.
    Show More Show Less
    14 mins
  • SBS Learn Eng Ep 102 Jinsi yakuzungumza kuhusu kujipanga
    Feb 27 2026
    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?
    Show More Show Less
    12 mins
  • Makala leo: Tovuti mpya na App ya kuwalinda wanafunzi wa kimataifa nchini Australia
    Feb 27 2026
    Kwa wanafunzi wa kimataifa wanaosomea nchini Australia, kupata huduma ya afya mara nyingi huonekana kama swala ghali sana... au la kutatanisha sana kuweza kuipitia.
    Show More Show Less
    10 mins
  • Taarifa ya Habari: Serikali yaamuru familia za wafanyakazi wa ubalozi nchini Israel na Lebanon kuondoka
    Feb 26 2026
    Polisi wanaamini kuna watu wengi zaidi wanaohusika, katika utekaji nyara na mauaji ya babu mmoja wa Sydney Chris Baghsarian.
    Show More Show Less
    7 mins
  • Yaliyo jiri Afrika: Sudan yaikosoa Uganda kwa kumkaribisha mkuu wa RSF Daglo
    Feb 25 2026
    Serikali ya Sudan inayoungwa mkono na jeshi imekosoa UIganda kwa kumkaribisha mkuu wa wanamgambo wa RSF Mohamed Hamdan Daglo maarufu kama Hemeti.
    Show More Show Less
    9 mins