• Je, unafahamu changamoto ya Afya ya akili kwa kijana?
    Sep 18 2025

    Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Jukwaa la Vijana, Mwezeshaji wetu ni Daktari Katanta Razalusi, Mwandamizi wa Masuala ya Uzazi na Familia na Mwenyekiti wa Watoa Huduma za Afya Wakatoliki Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, akitufundisha juu ya changamoto ya Afya ya Akili kwa Vijana.

    L'articolo Je, unafahamu changamoto ya Afya ya akili kwa kijana? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    48 mins
  • Fahamu changamoto ya afya ya akili kwa vijana.
    Sep 10 2025

    Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Jukwaa la Vijana, mwezeshaji Daktari Katanta Lazarus Simwanza, Mshauri mwandamizi wa maswala ya afya ya uzazi, malezi na familia lakini pia ni Mwenyekiti wa watoa huduma za afya wakatoliki Jimbo Kuu la Dar es salaam, anazungumzia juu ya vijana na changamoto ya afya ya akili.

    L'articolo Fahamu changamoto ya afya ya akili kwa vijana. proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    48 mins
  • Fahamu historia ya Tanzania Humanitarian Fund (THF), Mfuko wa Hisani wa kusaidia Mahitaji ya Binadamu Tanzania na utendaji kazi wake.
    Aug 28 2025

    Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Elimu Jamii, Wawezeshaji ni Dokta Apiov Lwiwa kiongozi THF-Morogoro , Bi.Mary Gilbert Masudi Mratibu wa THF pamoja na Bi. Mariana Consalves kutoka Mfuko wa Hisani wa Kusaidia Mahitaji ya Kibinadamu Tanzania.

    L'articolo Fahamu historia ya Tanzania Humanitarian Fund (THF), Mfuko wa Hisani wa kusaidia Mahitaji ya Binadamu Tanzania na utendaji kazi wake. proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    36 mins
  • Amri 10 za Mungu zimeandikwa wapi katika Biblia Takatifu?
    Aug 11 2025

    Karibu katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini , Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, ambapo ameendelea kujibu maswali mbalimbali yaliyoilizwa na msikilizaji. Mtangazaji ni Patrick Pascal Tibanga – Radio Mbiu

    L'articolo Amri 10 za Mungu zimeandikwa wapi katika Biblia Takatifu? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    57 mins
  • Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini?
    Aug 7 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linahoji hivi; Kanisa linahimiza kuwasaidia watu masikini, sasa mimi nitawezaje kuwasaidia wakati mimi mwenyewe ni masikini? Na je Matajiri hawahitaji kusaidiwa? Swali limejibiwa na Frateri Peter Peter kutoka Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu

    L'articolo Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    28 mins
  • Biblia inatufundisha nini katika kuvumilia na kupokea Mateso na changamoto katika maisha?
    Aug 6 2025

    Kipindi Cha Mbiu ya Heri MADA ni Matumaini katika Mateso kadiri ya maandiko Matakatifu katika Maisha ya Mkristo. Mafundisho haya yanatolewa na frateri Fransic Kulamiwa, Kutoka Seminari ya familia Takatifu Mwendakulima, yeye anatoka Jimbo Kuu Katoliki Mwanza.

    L'articolo Biblia inatufundisha nini katika kuvumilia na kupokea Mateso na changamoto katika maisha? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    31 mins
  • Ifahamu fadhila ya msamaha katika Maandiko Matakatifu
    Aug 6 2025

    Msikilizaji mpendwa karibu uungane na Frater Justine Galus Mwanaka, Kutoka Jimbo Katoliki Iringa, Mseminari katika Seminari Kuu ya Kitaifa ya Familia Takatifu Mwendakulima, Jimbo Katoliki Kahama ambapo anatufundisha juu ya fadhila ya msamaha, ni kupitia kipindi cha Mbiu ya Heri. Karibu sana.

    L'articolo Ifahamu fadhila ya msamaha katika Maandiko Matakatifu proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    31 mins
  • Zifahamu chunguzi na tathimini katika utegemezi wa matumizi ya dawa za kulevya
    Aug 6 2025

    Msikilizaji mpendwa karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi Cha Uraibu, ambacho huandaliwa na kuletwa kwetu na Padre Richard Matanda Tesha Kutoka Jimbo Katoliki Moshi, katika kipindi hiki Padre Matanda amezungumzia juu ya “Uchunguzi na tathimini katika utegemezi wa matumizi ya dawa za kulevya”. Karibu kwa Elimu zaidi.

    L'articolo Zifahamu chunguzi na tathimini katika utegemezi wa matumizi ya dawa za kulevya proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    55 mins