Mawimbi ya Matumaini cover art

Mawimbi ya Matumaini

Mawimbi ya Matumaini

By: Hope Media SNC
Listen for free

About this listen

Katika ulimwengu wenye kelele na fujo nyingi zinazotunyong'onyesha ni habari njema kuwa na mahali ambapo tunaweza pata tulizo. Kutoka hapa tumaini linalopatikana katika Yesu mwokozi katika mfumo wa mawimbi tulivu ya sauti njema. Haijalishi uko wapi ama unafanya nini unachohitaki ni kujiunganisha na sehemu hii na sauti za watumishi mbalimbali wa Mungu zikieleza kuhusu pendo lake lisilo na kifani zitakufikia... Hakika haya ni Mawimbi ya Matumaini kutoka South Nyanza Conference.Hope Media SNC Christianity Spirituality
Episodes
  • NenoLaBwana | Mahusiano Yenye Uhusiano Sehemu ya 1 - Mch. Paul Semba
    Dec 17 2023

    Somo hili lilitolewa katika mfululizo wa masomo ya siku kumi za uamsho wa kaya na familia zilizofanyika katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiseke. Hili ni somo la kwanza katika mfululizo huo uliopewa kichwa kisemacho "Mahusiano Yenye Uhusiano" Waweza Fuatilia Ukurasa wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiseke: https://www.youtube.com/@kisekesdamedia --------------------------------------------- Kurasa Rasmi za Mitandao ya Kijamii za South Nyanza Conference Tufuatilie: https://linktr.ee/sncadventist --------------------------------------------- ©MawasilianoSNC2023

    Show More Show Less
    58 mins
  • Nyayo katika Mapambano | Pr. Paul Semba
    May 15 2023

    Katika somo hili Mchungaji Semba anatupeleka katika ajenda kuu ya sura ya tatu ya kitabu cha Mwanzo ambapo tunaona pambano kati ya Elohim na Shetani anaekuja kwa umbo la nyoka.


    Barikiwa na somo hili...

    Show More Show Less
    43 mins
  • Tofauti kati ya Makusudi na Maelekezo | Pr. Peter John
    May 15 2023

    Mungu analo kusudi kwa ajili ya kila mmoja wetu na kama tunakusudia kujenga familia zilizo imara ni muhimu kufahamu kusudi hilo na kuishi kuendana na hilo. Mchungaji John anatumia somo hili la pili kuelekeza juu ya umuhimu wa kufahamu makusudi haya na kuishi kulingana na maelekezo ya muumba wetu ili kujenga mahusiano imara na Mungu wetu na hatimaye wenzi wetu.


    Bwana akubariki sana.

    Show More Show Less
    23 mins
No reviews yet
In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.