HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea'' cover art

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

By: Judith Isack
Listen for free

About this listen

Huu ni mwanzo wa mfululizo wa hadithi za kiswahili zitakazomsaidia mtoto kuwa na uwezo mzuri wa kufanya vizuri darasani kwa kumuongezea uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu, hali ya udadisi na uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mbalimbali.judithisack2022 Literature & Fiction
Episodes
  • MKE MKULIMA NA MUME MWINDAJI
    Oct 23 2022

    Ukimaliza kusikiliza hadithi hii naomba niambie vitu hivi

    -Ni sehemu gani ya hadithi hii imekuvutia zaidi?

    -Ni nani umempenda zaidi kwenye hadithi hii kati ya mume mwindaji, mke mkulima au Sungura?

    -unahisi kwanini hadithi hiiilitungwa, ungekuwa wewe ndo umeitunga hadithi hii je ungeimalizaje?

    INSTAGRAM @simulikahadithiya maisha EMAIL simulikaorganization@gmail.com

    Show More Show Less
    22 mins
No reviews yet
In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.