7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51) cover art

7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)

7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)

Listen for free

View show details

About this listen

Katika Injili ya Yohana sura ya 6, Bwana anasema, “Mimi ni chakula cha uzima.” Watu walihisi wamekula chakula cha mwili kutoka kwa Yesu. Siku iliyofuata, walienda kumtafuta Yesu tena, lakini Yesu aliwaambia wasifanyie kazi chakula kinachoharibika bali chakula ambacho ni cha uzima wa milele. Na kwa hivyo, watu waliuliza, “Tufanyeje ili tupate kuzitenda kazi za Mungu?” (Yohana 6:28) Yesu akajibu, “Hii ndiyo,kazi ya Mungu,mmwamini yeye aliyetumwa na yeye.” (Yohana 6:29).

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

What listeners say about 7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)

Average Customer Ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.

In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.