7. Vikombe Vya Mapambo Kwa Injili ya Maji na Roho (Kutoka 25:31-40) cover art

7. Vikombe Vya Mapambo Kwa Injili ya Maji na Roho (Kutoka 25:31-40)

7. Vikombe Vya Mapambo Kwa Injili ya Maji na Roho (Kutoka 25:31-40)

Listen for free

View show details

About this listen

Kifungu hiki kinaelezea juu ya kinara cha taa cha Hema Takatifu la Kukutania. Leo nitapenda kuelezea juu ya maana ya kiroho ya vikombe hivi vya mapambo, maua na taa. Mungu alimwamuru Musa kutengeneza kwamba mhimili wa taa ili kutengeneza kinara cha taa cha dhahabu. Hivyo, kitu cha kwanza kilichofanyika ilikuwa ni kutengeneza huo mhimili, kisha baada ya huo mhimili yaliunganishwa matawi pembeni yake. Kila upande wa huo mhimili kulitengenezwa matawi matatu, kisha katika kila tawi kulikuwa na mabakuli matatu mfano wa ua la lozi, kisha vikombe vya mapambo na maua vilitengenezwa. Vivyo hivyo, taa saba ziliwekwa juu ya matawi hayo ili kuuangaza. Hivyo kinara cha taa kiliweza kuangaza vizuri kabisa ndani ya Patakatifu pa Patakatifu pamoja na vyombo vyake vya ndani.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

What listeners say about 7. Vikombe Vya Mapambo Kwa Injili ya Maji na Roho (Kutoka 25:31-40)

Average Customer Ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.

In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.